Ni bahati ya pekee sana kwangu kutembelewa na mheshimiwa diwani wa Biro kwaajili ya kuzungumzia habari ya maisha ya vijana kwa kipindi hiki chenye kaulimbiu "Hapa kazi tu".
Ni kweli nikitu cha kuigwa na cha mfano wa kipekee sana anachokifanya mheshimiwa huyu. Kwani anatumia muda mwingi kwa kufuatilia uhalisia wa maisha na umuhimu wa kazi kwa vijana wa leo. Pamoja na mambo mengi anayozungumza na vijana anaonesha msisitizo mkubwa wa kuwaomba vijana wajitume katika kufanya kazi kwa moyo ili kulijenga taifa letu.

No comments:
Post a Comment