Pages

Sunday, 15 May 2016

PENTEKOSTE

Ni siku ya hamsini (50) baada ya Yesu kupaa kwenda Mbinguni kwa baba yake. Na ndiyo siku aliyoshuka Roho Mtakatifu kuwa msaidizi wa watu katika kuzungumza na Mungu aliye hai. Hivyo yeye hutusaidia katika kuomba kwetu tena kwa kuugua kusiko weza kutamkwa.
Hivyo mshirikishe huyu Roho Mtakatifu katika maombi yako ya kila siku. Tahadhari ni kwamba huyu Roho Mtakatifu hafanani kabisa na roho mtakafujo au mtakavitu. kuwamakini sana katika hili.
Mungu atubariki wote. "AMINA"

No comments:

Post a Comment