Nakadimisha zangu salaam za dhati kwako wewe msomaji unayetembelea ukurasa huu.
Ukurasa huu unahusu biashara ya picha za KUTEMBEA na za MGANDO.
Hali ikikumbukwa kwamba Picha ndiyo njia pekee kwa kuhifadhi kumbukumbu
za matukio mbalimbali katika maisha yetu ya kila siku na hata kuwa
sehemu ya burudani. Kama ndivyo utakubaliana nami kuwa ni muhimu sana
zikaandaliwa vizuri ili zisimchukize mtazamaji bali zimfurahishe na
kutomchosha na kumjaza hasira.
Hivyo naomba kuwaalika katika huduma hii kwa picha bora na kumbukumbu ya muda mrefu.
Katika ukurasa huu utapata kujua bei halisi ya picha za kisasa na zenye ubora na namna ya kufurahia huduma hii kwa gharama nafuu sana Kwani ULIPO TUPO.
Hakuna haja ya kulalamika wala kuona kama umetengwa kutokana na mazingira ulipo unachotakiwa kufanya ni kuwasiliana nasi kwa namba zifuatazo
0658 032054, 0787 032054 na 0767 032054 au kwa email hizi
lmwamboghela@yahoo.com au mwamboghelal@gmail.com
Face book; MVS Studio
Blog; Mwambo.com
Web site; www.lughanomwamboghela.com
Pia unaweza ukatutumia picha zako kwa soft copy ili kuziweka katika mandhari bora na ya kisasa yaani kidigitali zaidi kwa kadiri utakavyoona mchanganuo wake na kadiri utakavyotembelea ukurasa huu.
Kumbuka kwamba tunapiga picha za video na za mgando kwenye shughuli mbalimbali na matukio mbalimbali kama vile;
Harusi (ndoa)
Mahafali
Semina
Mihadhara mbalimbali
Misafara ya mafunzo (study tours)
Passport size n.k
Na wasanii mbalimbali.
Tembelea ukurasa huu ili uwe wa kisasa katika ulimwengu wa kumbukumbu za kisasa.
KARIBUNI SANA.

No comments:
Post a Comment