KILIMO CHA NDIZI MBINGU Unapofika Mbingu Tandale kuna kituo maarufu sana kwa jina la Tandale mahakama ya ndizi. Mahali hapo ni maarufu sana kwa wafanyabiashara wa ndizi kutoka sehemu mbalimbali kukutanikia hapo. Lakini wapo wagangaji ambao huenda kuchukua au kununua ndizi kwa mkulima na kuja kuwauzia wale wanaotoka Dar, Morogoro, Kilombero hata Ifakara. Hivyo kumbe shida kubwa ya Mbingu ni kuwa na kiwanda cha usindikaji ndizi kwaajili ya kuwarahisishia na kuwaongezea kipato wakulima wa ndizi pale kijijini. Hivyo kama kunamwenye uwezo wa kuwekeza kwa zao la ndizi ninadhani ndiyo wakati mwafaka kwa wakati huu wa maendeleo ya viwanda nchini Tanzania, kwa kuzingatia kaulimbiu ya "Hapa kazi tu".
KILIMO CHA NDIZI MBINGU
ReplyDeleteUnapofika Mbingu Tandale kuna kituo maarufu sana kwa jina la Tandale mahakama ya ndizi. Mahali hapo ni maarufu sana kwa wafanyabiashara wa ndizi kutoka sehemu mbalimbali kukutanikia hapo. Lakini wapo wagangaji ambao huenda kuchukua au kununua ndizi kwa mkulima na kuja kuwauzia wale wanaotoka Dar, Morogoro, Kilombero hata Ifakara. Hivyo kumbe shida kubwa ya Mbingu ni kuwa na kiwanda cha usindikaji ndizi kwaajili ya kuwarahisishia na kuwaongezea kipato wakulima wa ndizi pale kijijini. Hivyo kama kunamwenye uwezo wa kuwekeza kwa zao la ndizi ninadhani ndiyo wakati mwafaka kwa wakati huu wa maendeleo ya viwanda nchini Tanzania, kwa kuzingatia kaulimbiu ya "Hapa kazi tu".