Ni ukweli usiopingika kwamba, kwa sasa watu wengi wametambua kuwa ujasiriamali ndiyo suruhisho pekee la ugumu wa maisha yetu ya kila siku. Hivyo ni muhimu sana kila mmoja wetu kujituma ili aweze kujipatia na kujiongezea kipato chake na cha taifa kwa ujumla, hii itasaidia sana kuendana na kasi ya Tanzania ya viwanda.
Anza kwa kufahamu haya yafuatayo
SABUNI YA MCHE
MALIGHAFI
·
Caustic soda.
Mafuta; mawese, mbosa, nyonyo,
alizeti nk
·
Maji (H2O).
·
Glycerine:
(husaidia mikono isikauke na kuchubuka)
·
Perfume:
(lemon ni nzuri kwa kufulia)
·
Chumvi:
(huifanya sabuni isiishe haraka na kuifanya iwe nzito)
·
Sodium silicate:
(kuweka ubora wa sabuni na muunganiko wa malighafi).

No comments:
Post a Comment